![ImbaNasi](/img/default-banner.jpg)
- 5 188
- 17 462 719
ImbaNasi
Tanzania
Приєднався 4 січ 2020
IMBANASI RADIO
Phone: +255 677071019
S.L.P 1947 DODOMA-TANZANIA
imbanasitz@gmail.com
Phone: +255 677071019
S.L.P 1947 DODOMA-TANZANIA
imbanasitz@gmail.com
Відео
MARAIS SADC, EAC KUKUTANA DAR LEO ZAKAMIA AMANI DRC, BARABARA KUFUNGWA KWA MUDA.
Переглядів 10815 годин тому
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
KOCHA FADLU: CHASAMBI ASILAUMIWE, AJIFUNZE. MOTO WA MZIZE NOMA.
Переглядів 21615 годин тому
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
WASIOJULIKANA WAFANYA UHARIBIFU MSITU WA ROMBO, JELA KWA KUBAKA MTOTO.
Переглядів 10215 годин тому
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
MCHENGERWA ATAKA MKANDARASI ASIPEWE KAZI YOYOTE HADI ATAKAPOKAMILISHA MRADI
Переглядів 362 години тому
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
SIRI TRA KUFUNGUA KUFUNGUA MILANGO YA AJIRA MPYA.
Переглядів 732 години тому
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
WANAUME WADAIWA KUTEGESHA WAKE ZAO WAFUMANIWE KUJIPATIA KIPATO.
Переглядів 332 години тому
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
FOUNTAIN GATE YAIVUTA SIMBA MKIA, CHASAMBI ATOA ZAWADI YA GOLI.
Переглядів 1602 години тому
Wasiliana nasi kwa simu namba 0677071019
SAMIA: WANA CCM MSIBWETEKE WAGOMBEA WATANGAZWA , HISTORIA IMEANDIKWA.
Переглядів 264 години тому
SAMIA: WANA CCM MSIBWETEKE WAGOMBEA WATANGAZWA , HISTORIA IMEANDIKWA.
KIMBUNGA CHA SIMBA KIPO KWARAA MANYARA LEO, KUMJUA MPINZANI WAKE CAF FEBRUARY 20.
Переглядів 1294 години тому
KIMBUNGA CHA SIMBA KIPO KWARAA MANYARA LEO, KUMJUA MPINZANI WAKE CAF FEBRUARY 20.
WANAFUNZI WATEKWA KWENYE GARI LA SHULE, AMUUA MPENZI WAKE MWANAFUNZI KWA KUMKABA KOO.
Переглядів 1224 години тому
WANAFUNZI WATEKWA KWENYE GARI LA SHULE, AMUUA MPENZI WAKE MWANAFUNZI KWA KUMKABA KOO.
WATANZANIA 24 WASHIKILIWA NA MAMLAKA YA UHAMIAJI NCHINI MAREKANI.
Переглядів 1797 годин тому
WATANZANIA 24 WASHIKILIWA NA MAMLAKA YA UHAMIAJI NCHINI MAREKANI.
TUKICHEZA KWAO NI KAMA TUNACHEZA NYUMBANI FADLU DAVIDS.
Переглядів 717 годин тому
TUKICHEZA KWAO NI KAMA TUNACHEZA NYUMBANI FADLU DAVIDS.
WANAOONGOZA KWA CLEAN SHEET NI MOUSSA CAMARA NA DIARA.
Переглядів 737 годин тому
WANAOONGOZA KWA CLEAN SHEET NI MOUSSA CAMARA NA DIARA.
RAIS SAMIA AANDIKA HISTORIA BARANI AFRIKA, AWALETA KAGAME, TSHISEKEDI DAR.
Переглядів 497 годин тому
RAIS SAMIA AANDIKA HISTORIA BARANI AFRIKA, AWALETA KAGAME, TSHISEKEDI DAR.
YANGA , KEN GOLD VITA YA KISASI, PACOME AWINDWA SIMBA YAMTAZAMA NJE NDANI.
Переглядів 1547 годин тому
YANGA , KEN GOLD VITA YA KISASI, PACOME AWINDWA SIMBA YAMTAZAMA NJE NDANI.
WANAFUNZI WADAIWA KUJITEKA DAR WAKITAKA FEDHA KUTOKA KWA WAZAZI.
Переглядів 457 годин тому
WANAFUNZI WADAIWA KUJITEKA DAR WAKITAKA FEDHA KUTOKA KWA WAZAZI.
YANGA INAMTANGAZA KOCHA MPYA MILOUD HAMDI.,YAVUNJA MKATABA NA SEAD RAMOVIC.
Переглядів 4037 годин тому
YANGA INAMTANGAZA KOCHA MPYA MILOUD HAMDI.,YAVUNJA MKATABA NA SEAD RAMOVIC.
TMA YATABIRI MVUA KUBWA KWA MIKOA TISA KWA SIKU TANO KUANZIA FEBRUARY 4.
Переглядів 7757 годин тому
TMA YATABIRI MVUA KUBWA KWA MIKOA TISA KWA SIKU TANO KUANZIA FEBRUARY 4.
JONATHAN IKANGALOMBO HAJAFIKIA LEVEL YA FITNESS KOCHA ANAYOHITAJI.
Переглядів 1409 годин тому
JONATHAN IKANGALOMBO HAJAFIKIA LEVEL YA FITNESS KOCHA ANAYOHITAJI.
UWANJA WA SAMIA COMPLEX JIJINI ARUSHA WAFIKIA ASILIMIA 25.
Переглядів 829 годин тому
UWANJA WA SAMIA COMPLEX JIJINI ARUSHA WAFIKIA ASILIMIA 25.
M23 WATANGAZA KUSITISHA MAPIGANO TAKRIBANI WATU 900 WAMEUAWA NA 2880 WAMEJERUHIWA.
Переглядів 2149 годин тому
M23 WATANGAZA KUSITISHA MAPIGANO TAKRIBANI WATU 900 WAMEUAWA NA 2880 WAMEJERUHIWA.
MWALIMU ALIYEFARIKI KWENYE AJALI YA BUS NA RAV 4 ALITOKA DAR KUNUNUA GARI HILO BAADA YA KUSTAAFU.
Переглядів 1839 годин тому
MWALIMU ALIYEFARIKI KWENYE AJALI YA BUS NA RAV 4 ALITOKA DAR KUNUNUA GARI HILO BAADA YA KUSTAAFU.
MPIRA UNA MAAJABU YAKE, FADLU AIFUKUZIA REKODI YA PATRICK AUSSEMS..YANGA NI MZIZE, DUBE NA PACOME.
Переглядів 589 годин тому
MPIRA UNA MAAJABU YAKE, FADLU AIFUKUZIA REKODI YA PATRICK AUSSEMS..YANGA NI MZIZE, DUBE NA PACOME.
WATU WANNE MBARONI WAKITUHUMIWA KUMCHINJA NDUGU YAO KWA KUDAI NI MCHAWI.
Переглядів 669 годин тому
WATU WANNE MBARONI WAKITUHUMIWA KUMCHINJA NDUGU YAO KWA KUDAI NI MCHAWI.
WALIOFARIKI KWENYE AJALI KILIMANJARO WATAMBULIWA KUFUATIA AJALI YA BUS NA GARI DOGO.
Переглядів 32012 годин тому
WALIOFARIKI KWENYE AJALI KILIMANJARO WATAMBULIWA KUFUATIA AJALI YA BUS NA GARI DOGO.
ASKARI 4 WA JWTZ WANAPATA MATIBABU MJINI GOMA, CONGO NA BURUNDI WAZUIA M23.
Переглядів 12112 годин тому
ASKARI 4 WA JWTZ WANAPATA MATIBABU MJINI GOMA, CONGO NA BURUNDI WAZUIA M23.
TRUMP KUINYIMA AFRIKA KUSINI MISAADA, HADI UCHUNGUZI UTAKAPOKAMILIKA.
Переглядів 4512 годин тому
TRUMP KUINYIMA AFRIKA KUSINI MISAADA, HADI UCHUNGUZI UTAKAPOKAMILIKA.
MWALIMU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMBO AJIUA KWA SUMU.
Переглядів 18912 годин тому
MWALIMU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMBO AJIUA KWA SUMU.
RAIA WA KIGENI KUCHUNGUZWA KARIAKOO, 15 KUCHUNGUZA MALALAMIKO.
Переглядів 6312 годин тому
RAIA WA KIGENI KUCHUNGUZWA KARIAKOO, 15 KUCHUNGUZA MALALAMIKO.
Mhh tunaomba abaki ..ngoma wetu jmn anatusaidia mno pale kati a anakichafua nakagoma hadi raha
Adi mungu unajua
Jamani tunasemaga "tunasema'
Sawa Mkuu uko☑️🙏🙏
Sifia Simba yako unamaumivu wiki hii pole
Mwaka huu niwamabadiliko tunanajiandaa kisaikorojia simba
Tatizo mbeleko
Hongereni sana kwa nyimbi mzuri za kumsifu mama yytu Bikira Maria❤❤❤
Mpira unadunda chasambi amejituma na asist katoa yeye wasimuhukumu
Duuuu ila wasemaji bana 😂😂😂😂
Kaka tupo pamoja ilo swal ndo ambalo hua linaniumiza sna simba wanapenda backpass alafu zinatuleteaga madhar sana aisee hapo inatakiwa kocha akae vizur na wachezajji wake watatue kuhus ilo swala ni janga kubwa sana haswa hukikutna natim kubwa inaweza kua faid kwako pia tumeona kwa shirikisho😢
All choir's
Songs of. Choir
Mpaka sasa uchunguz umefanyika?
Tunakupenda sana tunakuombea usonge mbele na utumishi, Kristo azidi kukuinua
Miserer nobiss
Katika Sala hii naomba Neema , afya njema na Baraka za Mwenyezi Mungu kwa familia yangu na za majirani zangu. Amina.
Woow da rozi naomba unitumie wimbo wa arubamu yako ya pili
Yanga ubigwa basi Tena
Mpaka nawaonea uruma yanga
Walitucheka San misimu iliyopita na wakajiona wao Ndio wao😂😂😂 Acha tu nao walionje joto la jiwe
Ila yanga mmetushinda tabia kwakweli 😂😂yaani kushindwa kufuzu ndio kumewamaliza akili
Mmh
Nakushukuru mungu kwa kunilinda siku ya leo
We Thadei sisi wenye D 2 tunakuelewa we kolo Mambo ya makolo. Kuna namna unakwepesha kuongea ukweli.
Simba match nyingi hayo makosa ya marefa yanatokea acha kusema ikitokea kesho,we tunaona dhahiri hutaki kuukubali ukweli acha ukolo wako!!
Kumsimamisha Kayoko ni uhuni tu wa TFF tunajua ipo upande wa Simba kwahiyo kulazimisha Simba lazima apate matokeo kayoko ameshindwa kutekeleza matakwa ya TFF na aliyemsukuma mchezaji ni Omari Mdoe Mashjaa vs Simba na ilikuwa Match ya hovyo mno.
Mrembo uko matawi
Wachaaaaa
@ImbaNasiRadio 😁😁😁
Kashindye kasanzu tabora nzega nawa pata vyema hapo studio
Wasikuchoshe sana patamuda na MUNGU wako badotunakupenda gudlak tunakuommbeya
Usiogope manenoya watu jitaidisana kumsikiliza MUNGU atakama fmiliyayako itajiungana wachafuzi usijali wanaliliya nyota badounayo manauaongea vizurikujieleza MUNGU aezikukuacha usaruusu wakunyanganye amaniya krisito badouko vizuri kuamfumilivu uweodari namoyowa ushujaa ngiza litapitatu nuruya kristo iposikuzote aikuachi
Maelezo Yako yapo sahihi sana
Nakuelewa na MUNGU amekupa kipaji pekee ambacho wengi hawakufii. MUNGU ATAKUWEZESHA TU KUKUINUA NA KUKUKINGA NA MAADUI.
Bonjour
Chiz uyo mbon mechi yao walivyobebwa mbon alikaa kimya
Hongereni sana
Tadei umetisha leo
Utakuta Mtu Anampigia Kura Mana Kila Anachosema Kimeenda Kwenye Inje Ya Maendleeo Sasa Utampigia Kura Vipi Mtu Wa Ivi
Kaka Thadei leo utatangaza mpira
Mimi nipo katoro geita naipenda simba yangu
Tadei uko vizur
Mbona leo hutangazi mpira😢😢😢
Naomba wimbo wenu . Jeshi la malaika
Kaka tadeo naskia chama ameomba kurudi simba ni kweli eti kaka😢
Kupitia kwa hii sala naomba amani kwa family yangu na pia kwa family yetu upendo na amani,naomba kufunguliwa kwa kazi ya mikono yangu na aniepushe na yule muovu shetani amina
Dada naipeda sauti yako mungu akuzidishie baraka 💯❤❤❤🙏🙏🇯🇲🇴🇲
Ndowa na kirisitina kaka
Tadeo jana nimekwambiya jana kunaukata yanga halingumu hata mishahara tatizo na bonasi shida
Esta sio mtaji wa kuendesha timu hata
Huyu mnyaturu Hana maisha uongozi sio wa milele kwake
Wazir wa fedha anachezea pesa ya wananchi na luku zao